Jumanne, 26 Januari 2016

ALBINO WAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUKOMESHA VITENDO VYA MAUAJI .



Timothy Marko.
TAASISI ya Albino Enterprises of Dar es salaam imemuomba Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jonh Pombe Magufuli kuendelea kupambambana na tatizo la Mauaji ya ya watu wenye ulemavu wangozi linalotokana na imani za kishirikina .

Akizungumza katika uzinduzi wa stika maalumu zilizo kuwa na ujumbe wakukomesha vitendo vya mauaji wa watu wenye ulemavu jijini Dar es salaam Mtunza Hazina wa taasisi hiyo Mwavua Kambi amesema kuwa kutokana najuhudi za Rais wa awamu ya nne Jakaya KIKWETE kupambana navitendo vya mauaji yawatu wenye ulemavu wangozi (Albino)wanaamini kuwa juhudi hizo zitaendelezwa na awamu ya tano katika kupambana na vitendo hivyo.
‘’Tunamuomba Mheshimiwa Rais Dkt.JONH pombe Magufuli kuendeleza harakati za Rais aliyemtangulia Dk.JAKAYA Mrisho KIKWETE  ambaye alikuwa kipenzi cha watu wenye Albinism stika hii imebeba heshima ya Rais wetu mchapakazi makini Dk.JONH Magufuli’’ Alisema Mtunza Hazina MWAMVUA KAMBI .
Mtunza HAZINA Mwamvua Kambi alisema sambamba nakuomba ushirikiano kutoka kwake pia imemuomba Rais Mstaafu Jakaya kikwete kuweza kuwasikiliza katika kutekeleza maazimo ya stika katika kukomesha vitendo vya mauaji ya watu wenye ulemavu wangozi.
Alisema kuwa kutokana na mchango mkubwa alionao Rais mstaafu JAKAYA kikwete katika kusaidia watu wenye ulemavu nakuweza kumuomba Rais huyo wa awamu ya nne kuweza kuisaidia taasisi hiyo .
‘’kwa RAIS mstaafu JAKAYA KIKWETE tunakuomba utusikilize pale tunapohitaji mchango wako ili kuweza kutimiza kusudio la stika hii ‘’Aliongeza Mwamvua Kambi.
Kamishina wa polisi wa kanda maalum Simon SILO amesema kuwa jeshi hilo la polisi kuweza kutoa ushirikiano katika kukomesha vitendo vya watu wenye ulemavu ALBINO vinakomeshwa .
Alisema jeshi hilo lapolisi lipotayari katika kufanya upelezi wa kina uhusiana nawatuhumiwa wavitendo vya mauaji ilkuhakikisha watuhumiwa wanavikishwa Mahakamani .
‘’JESHI la polis mojakwa moja lipotayari kupata taarifa kabla ya mauaji hayatokea ilikuweza kudhibiti vitendo hivi’’ Alisema KAMISHINA  SILO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni