Alhamisi, 28 Januari 2016

TANZANIA YATAKIWA KUTEKELEZA MALENGO YAMILENIA KWAKUZINGATIA USAWA WAKIJINSIA



Timothy Marko.
TANZANIA  imetakiwa kutekeleza mpango wa malengo ya milenia yamwaka 2015 hadi 2025 kwakuzingatia usawa wakijinsia ilikuweza kuondokana na tatizo la umasikini.

Wito huo umetolewa namuwakilishi mkaazi wa umoja wa mataifa wa masuala ya wanawake  Grace Banya katika kongamano lililoandaliwa nataasisi ya Policy FORUM ambapo amesema kuwa ili kuhakikisha mpango wamaendeleo wa awamu yapili wa 2015/2025 unafikiwa nilazima serikali na taasisi zi zingatie usawa wakijinsia katika utekelezaji wa malengo hayo.

‘’ili kuhakikisha malengo ya awamu yapili ya malengo ya milenia nilazima kuzingatia usawa wakijinsia ilkuweza kuondokana natatizo la umasikini ‘’Alisema Muwakilishi Mkazi Grace BANYA.

Grace Banya alisema kuwa jitihada mbalimbali zinahitajika kati ya serikali na asasisi za kiraia katika kutekeleza malengo ya awamu ya pili ya malengo ya milenia .

Alisema kuwa nilazima taifa liwekeze nguvu Zaidi katika kuweza kuondokana na tatizo la njaa naupungufu wa chakula nilazima kuwekeza katika mazao ya chakula pamoja na sekta yaviwanda ilikukabiliana na hali hiyo .

‘’VIONGOZI katika bara la afrika wamejiwekea malengo ya mwaka 2023 katika kuhakikisha maendeleo ya wanawake katika bara hili yanafikiwa ‘’Aliongeza Banya .

Aliongeza kuwa TANZANIA inahitaji kutumia rasmali zake ilkuweza malengo yake yanavikiwa katika kuteleza malengo yamilenia ya awamu ya pili yakwanza .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni