Ijumaa, 29 Januari 2016

SHIRIKISHO LA TIBA ASILI LAIOMBA SERIKALI KUPUNGUZA GHARAMA ZA USAJILI .



Timothy Marko
SHIRIKISHO la waganga wa Tiba asili nchini limeiomba serikali Kuweza kupitia kwaupya kusiana na zoezi la kusajili watabibu watiba asilia .

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salam mapema hii leo Mwenyekiti wa baraza la waganga Tanzania Shaka Mohamed Shaka amesema kuwa hatua hiyo yakurejea zoezi lausalijili watibabu wa asilia limetokana na kuwepo kwa gharama kubwa za usajili hali inayochangiwa waganga hao kutoweza kumudu gharama hizo .

‘’Uzoefu tulionao Gharama za kupima sampuli moja moja ni dola za kimarekani miananane ambazo nisawa nisawa laki nane za kitanzania ,hizi nipesa nyingi sana kwawatibabu kuweza kumudu gharama hizo’’ Alisema Mwenyekiti Wa baraza la waganga Shaka Mohamedi SHAKA .

Mohamedi SHAKA alisema kuwa kumekuwepo nakundi linalo jihusisha natiba asili ambalo halija sajiliwa na baraza hilo ambalo likijipatia fedha nyingi sana kuliko wale waliopo vijini ambao ni wahali yachini hawawezi kuzimudu gharama hizo .

Alisema kundi hilo limekuwa likionekana ndilo halali kwaminadi yakuwa likitumia fedha nyingisana  katika uendeshaji na tiba za kisasa wakati huo huo kundi la tiba asilia limeonekana halina taaluma ya tiba asilia .

‘’Gharama za tiba asili kwa waganga wakweli wa tiba asili ni shilingi hamsini elfu ,lakini wao ni mamilioni nawagonjwa wao waliowengi hawapati nafuu’’Aliongeza Shaka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni