Timothy Marko
IMELEZWA
kuwa mgongano wakisheria wakudhibiti usambaaji wa ugonjwa wa ukimwi umekuwa
nikikwazo katika kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi nchini.
Akizungumza
katika uzinduzi wa ripoti ya uchambuzi wa masuala yakisheria katika kudhibiti
usambaaji wa maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi nchini Muwakilishi wa shilika la Maendeleo la umoja wa
mataifa (UNDP)DK. Salum ali amesema kuwa
kuwekuwa namgongano wakisheria kuhusiana na makundi maalum ikiwemo watoto
walemavu pamoja na wafanyabishara yangono katika kudhibiti maambukizo mapya ya
virusi vya ukimwi .
‘’Kuna
sheria zimepitwa nawakati eneo kama kundi maalumu ikwemo watoto walemavu pamoja
na wafanyabishara wa bias hara yangono ‘’Alisema Dk.SALIM ali
Dk.SALIMU
Ali alisema kuwa sheria haija weka wazi kuhusu makundi yanayo jihusisha
nabiashara yangono kuweza kujitambulisha .
Alisema kuwa
kasi yamaambukizi imeweza kufikia asilimia 51 huku mikoa inayo ongoza katika
kuwa na maambukizi hayo nipamoja na Dar es salaam ,Iringa na Mbeya .
‘’Tunataka
mazingira yawe wazi kwa waathirika na wanao jihusisha vitendo vya biashara
yangono kuweza kujitambulisha ilkuweza kupata takwimu sahihi za maambukizi ‘’Aliongeza
DK SALIMU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni