Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha kukuza utamaduni wakusoma vitabu unaongezeka vijana wametakiwa kusoma vitabu ilikujua mchango wa ukombozi wa bara afrika nakufahamu historia yabara hilo .
Akizungumza katika uzinduzi wakitabu cha Salim Ahamed Salimu kama mtoto wa afrika ambaye achukua falsafa na mawazo ya Mwalimu Nyerere katika kuyachukua mawazoyake nakutumia katika ukombozi wa barara afrika waziri WaMambo ya nje na ushirikiano wa afrika Mashariki Agustino Mahiga amesema Dk Salimu Ahmed salimu amekuwa kiungo muhimu katika ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika .
''Dk Salim Ahamed SALIM amekuwa kiungo muhihimu katika kuanganisha mawazo na falsafa za mwalimu nyerere katika kukomboa nchi za kusini mwa afrika pale alipokuwa katika umoja wa nchi huru za afrika O.A.U pamoja naumoja wa mataifa ''Alisema Dk Agustino Mahiga
.WAZIRI Mahiga alisema kuwa uzinduzi wa kitabu cha SON of africa ni fursa muhimu kwa vijana kuweza kutambua mchango Tanzania katika ukombozi wa bara la afrika ambapo salimu Ahamed salimu mwanaharakati muhimu wa bara hilo anayetoka nchini Tanzania .
Alisema kuwa Mwalimu nyerere aliweza kumchukua Dk .Salimu kama kiungo muhimu cha kimataifa katika kutekeleza falsafa za ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika katika kudai uhuru katika umoja wa mataifa .
''falsafa ambayo tunaizindua kupitia kitabu hiki nimchango mwalimu nyerere mwalimu alimchagua Dk salimu kiungo muhimu hivyo mchango wake umeweza kusaidia harakati za kupigania uhuru katika ukombozi wa afrikakusini kupitia umoja wa mataifa ''Aliongeza Dk.SALIM.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni