Alhamisi, 11 Desemba 2014

WILAC YAZINDUA RIPOTI YA HALI YAMAHABUSU YA WATOTO KATIKA MAGEREZA .


Timothy Marko
WATALAMU washeria nchini wameaswa kufanya tafiti za haki za binadamu zinazowalenga watoto ilikuweza kubaini changamoto mbalilimbali zinazo wakabili ikiwemo watoto waliopo mahabusu kwa makosa mambalimbali ikiwemo makosa yajinai nakuyatafutia ufumbuzi .
Akizungumza katika uzinduzi wa ripot

KATIBU MKUU WA WIZARA KATIBA NASHERIAMAMUNATASHI  AKIZUNGUMZA KATIKA UFUNGUZI WARIPOTI JIJINI DAR ES SALAAM

i ya hali ya  watoto waliopo katika magereza mbalimbali hapa nchiniiliyoandaliwa na taasisi ya WILAC mapema hii leo jijini Dar es salaam , katibu mkuu wa wizara yakatiba Maimuna  Tarishi amesemakuwa hali ya utoahaji haki kwa watoto Tanzania imekuwa katika hali mbaya ikilinganishwa nanchi nyingine kimataifa .
‘’hali yamfumo wautoaji haki kwa watoto katika magereza halingani nanchi nyingine kimataifa Tanzania imekuwa ikiwachanganya mahabusu waliopo chini yamiaka 18 na watu wazima hali inayopelekea dosari katika magereza mbalimbali hapa nchini .’’alisema Maimuna Tarishi .
KATIBU wa wizara yakatiba na sheria alisemakuwa kufuatia jitihada mbalimbali zilizofanywa na mashirika mbali mbali ikiwemo shirika la watoto laumoja wa mataifa UNICEF kwa kushirikiana nakituo chawanawake wanasheria WILAC Imeweza kuwa saidia watoto 115 kutoka katika mahabusu yakisutu kupata msaada wakisheria.
Muwakilishi waumoja wa mataifa washirika la watoto linalowashughulikia maswala yawatoto UNICEF VICTORIA MGONELA katika kuwashughulikia watoto watoto ambao hukinzana na maswala mbalimbali huweza kushughulikiwa madai yao .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni