Ijumaa, 12 Desemba 2014

WAZIRI WACHAKULA NAKILIMO AWAONYA WAFANYABISHARA WA WANAUZA SUKARI NJE YA NCHI.

waandishi wa habari wakimsikiliza waziri wachakula nakilimo akitoa ufafanuzi kuhusiana hali ya chakula nchini .
KATIKA kuhakisha upatikakanaji wa bidhaa ya sukari hapanchini serikali imewaonya vikali wanaosarifisha sukari kwanjia yamagendo kuaachana natabia hiyo kabla hatu a zakisheria hazijachukuliwa kwa baaadhi ya wafanyabishara wanaosafirisha bidhaa hiyo kwenda nchi za jirani .
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo waziri wa kilimo na chakula Christoper Chiza amesema kuwa kupitia wizara hiyo pamoja najeshi lapolisi pamomoja nataasi nyinginezo zitawachukulia hatua wafanyabishara wanaoagiza sukari kimagendo nakuweza kusababisha mfumuko wabei wa bidhaa hiyo.
‘’Serikali imejipanga kudhibiti bidhaa zote zinzoingia kimagendo ikiwemo sukari ambazo hazinakibali hapa nchini ambapo tutatumia vyombombali mbali ikiwemo mamlaka ya mapato ,wizara ya viwanda na bishara pamoja najeshi lapolisi ‘’Alisema WAZIRI wa chakula Christoper chiza .
Waziri Chiza amesema kuwakupitia vyombo mbambali ikiwemo wizara yafedha itaiagiza wizara hiyo kilabidhaa inayo aigizwa kutoka nje ya nchi ikiwemo sukari kulipiwa kodi.
Aidha wazirichiza aliwataka kupitia sekta yabandari namlaka yamapato kuhakikisha inapata takwimu sahihi kwa kushirikiana na wizara yaviwanda nabiashara ilkubaini wafanyabishara wanaoagiza bidhaa hiyo ya sukari hapa nchini.

waziri wachakula nakilimo akisisiza jambo wakati akizunguza na waandishi wa habari juu ya hali ya chakula nchini .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni