Timothy Marko
KATIKA
kuhakikisha shilika la reli lina kuza huduma zake hapa nchini limesemakuwa linaendelea kuboresha miundombinu
ya shirika hilo ikiwemo kuboresha mashine mbalimbali zinzotumika kubebea mizigo
mbalimbali .
Akizungumza
nawaandishi wahabari mapema hii leo jijini Dar es salaam Afisa Habari washirika
hilo Mohamed Maponela amesema kuwa
kufuatia marekebisho yamashine za kubebea mizigo kuharibika wamewaita mafundi
mbalimbali ilikuweza kutatua tatizo hilo ilkuwahakikishia wananchi huduma zilizo
bora katika shirika hilo .
‘’Tumepata
matatizo kidogo katika Shirika letu la reli kumekuwa na hitilifu katika
mashinezetu tunafanya matengenezo ya baadhi yamashine hivyo tumeairisha ziara
ya kamati yabunge kuja kutembelea katika shirika letu hivyo tutawatarifu juu
yaziara hiyo siku ya jumatatu ‘’Alisema Mohamed Maponela .
Afisa habari wa Shirika la RELI nchini Mohamed Maponela akizungumza na waaandishi wa habari mapemahii leo jijini DAR ES SALAAM. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni