Timothy Marko.
KATIKA
kuhakikisha Ajali zinazotokana nabodaboda zinatokomezwa hapanchini Waendesha
bodaboda wametakiwa kuzingatia mafunzo yaendeshaji wa pikipikihizo ilkuweza
kuondokana ajali katika kipindi hiki cha mwisho wamwaka .
Akizungumza
na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salam Afisa habari wa jumuhia ya
waendesha boda boda katika mkoa wa Dar es salaam Abdallah Bakari amesema kuwa
kutokana nakuwepo kwa waathirika wa ajali mbalimbali zina zotokatokana
nakutozingatia sheria za usalama barabani
Jumuhia hiyo imeamua kufanya matembezi maalumu ya kuwa juliahali
waathirika mbalimbali wa ajali zinazotokana ajali za barabarani waliopo katika hospitali
mbalimbali za mkoa wa Dar es salaam.
‘’Sisi Kama
jumuhia ya waendesha boda boda tunataarajia jananuari mosi mwaka ujao kufanya matembezi maalumu yakuwatembelea wa
athirika wa ajali waliopo katika hospitali katika wailaya yailala ambapo tuna
tyaraji a mgeni rasmi wa matembezi hayo atakuwa Naibu waziri wa kazi najira
Mheshimiwa Makongoro Mahanga’’Alisema
ABDALLAH BAKARI.
Bakari
aliwataka waendesha boda boda walipo jijini Dar es salam kujitokeza ikujifunza
na kujionea maadhara yanayotokana una undeshaji mbovu wa bodaboda .
. .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni