Timothy Marko
JESHI la
polisi kikosi chausalama barabarani limesemakuwa litawachukuliahatua madereva
pamoja namakondata wa mabasi yaendayo mikoani wanao pandisha nauli kinyume na
tarataibu zilizowekwa na mamlaka ya udhibiti wausafiri wanchi kavu na majini (SUMATRA).
Akizungumza na
waandishi mapema hii leo jijini Dar es salaam Kamanda wa kikosi cha usalama
barabarani Mohamed Mpinga amesema kuwa kufuatia operesheni iliyofanyika hivi
karibuni watu saba wemeweza kufikishwa mahakamani kwa makosa yausalama
barabarani naupandishwaji wa nauli kiholela .
KAMANDA WAKIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI MOHAMED MPINGA Akizungumza na waaandishi wa habari AKIWA nachama chakutetea abiria kushoto niMwenyekiti wa chama hicho Thomas HAULE. |
‘’Juzi
tumefanya opereshni maalumu tumefanikiwa kuwakamata watu saba nakesi zao
zimepelekwa mahakamani kusubili muda wakusaikiliz wa tunahokifanya nikuwa
kamata nakuwapeleka mahakamani ‘’Alisema Kamanda Mohamed Mpinga .
Kamanda
Mpinga alisema kuwa kutokana kuwepo kwachangamoto katika usafiri wamikoani
imeonekana kuwa madereva wamekuwa wakijificha pindi wanapo bainika wametenda
makosa yausalama bararani hali inayotokana na baadhi ya madereva hao kuwa
namtandao mkubwa hivyo kuweza kujificha wasionekane .
Alisema kuwa
Baadhi yamakampuni yausambazaji wamagazeti yamekuwa yakijihusisha
nausafirishaji wa abiria hali ambayo nikinyume nataratibu za mamlaka za
usafirishaji nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni