Jumatatu, 22 Desemba 2014

LUDOVIC UTTOH :KAMPUNI YA IPTL ICHUNGUZWE

Timothy Marko.
WAKATI Taifa likiwa katika kimya kizito kuusubiri uamuzi wa utekelezaji wa  maazimio ya bunge kwa Rais Jakaya kikwete juu iliyokuwa akaunti ya tegeta Escrow kwa watuhumiwa wanaodaiwa kuchota fedha hizo zaidi yabilioni 300 mapema hii leo Aliyekuwa mkagauzi wa mahesabu yaserikali  Ludoviki UTOUH  amekataa kulizungumzia swalahilo pindi alipoulizwa nawaandishi wa habari mapema hii leo katika mkutano wa waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar es salaam. 

Akizungumza jijini humo aliyekuwa mkaguzi mkuu wa mahesab u yaserikali LUDOVIKI UTOUH amesemakuwa kutokana ripoti iliyotolewakatika kamati yabunge imeonyesha mapendekezo ya namna yahatua zinazoweza kuchukuliwa juu wanaotuhumiwa  na uchotwaji wa akaunti yaescrow hivyo lazima kampuni ya IPTL ifanye ukaguzi wa kimahesabu wa fedha zilizo ikuweza kujua kiasi gani chafedha zilizoweza kuchotwa nakuisababishia hasara shilika la umeme tanesco .
‘’Naomba nisilizungumzie suala hili la Escrow jibu lanini kifanyike kwa watuhumiwa jibu lipo katika ripoti napendekeza kampuni ya Kuzalisha umeme ya Iptl ifanye calculation ‘’Alisema Ludovic Utto.
Alisema kuwa kutokana nataarifa zilizokuwepo katika mamlaka ya mapato TRA Haikufanya ukaguzi wafedha zaidi Shilingi bilioni 25 hazikuweweza kukaguliwa .
Uttoo Alisema  kuwa nilazima mihimili ya dola isingiliane katika kutafuta ukweli nakutekeleza majukumu yake lazima bunge na mahakama iwe na mipakayake .
‘’kabla ya kufikia maamuzi nilzima kuwe na maridhiano katika kujadili maswala mbalimbali ‘’Aliongeza MKAGUZIWA HESABU ZA SERIKALI
Habari zilizopatikana hivipunde: Rais jakaya KIKWETE amemuengua uwaziri wa nyumba nana makazi Professa Anna Tibaijuka baada kutuhumiwa kuugawiwa fedha na Bw james RWEGEMALILA Kwa ujenzi wa shule yake iliyopo pembezoni mwa Dar es salaam.
Huku WAZIRI wanishati namadini SOSPETER Muhongo akiwa katika uchunguzi wa madai yake juu yakuhusika nauchotwaji fedha katika akaunti ya ESCROW.

MKAGUZI MKUU MSTAAFU  LUDOVICK UTTOH AKIPEWATUNZO YAHESHIMA JIJINI LEO.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni