Jumatatu, 1 Septemba 2014

TUME YA UTUMISHI WA UMMA NCHINI YAIOMBA SERIKALI IWAONGEZEE BAJETI

Timothy Marko.
Katika kuhakikisha changamoto mbalimbali za utumishi wa umma zinapatiwa ufumbuzi wa kudumu  tume yautumishi waumma imesema kuwa inaendelea kufanya ukaguzi wataasisi za kiserikali ilkuweza kubaini  uzingatiaji wa sheria nakanuni za ajira zinafuatwa na waajiri na malaka zajira zahapa nchini .

Akizungumza jijini na waandishi wa habari mapema hii leo, Naibu katibu mkuu wa tume yautumishi waumma nchini Neema Tawale amesema kuwa tumehiyo yautumishi waumma imekuwa ikitoa elimu yamaswala mbalimbali yahusuyo utumishi wauuma ikiwahusisha wadaumbalimbali kama vile vyombo vya habari pamoja nakutoa miongozo ya sera mbali mbali za utumishi wa umma nakufanya maonesho yatume hiyo ilikuhimiza  nakukuza uelewa washeria nakanuni mbali mbali.

‘’Tume yautumishi waumma nchini imekuwa ikifanya ukaguzi ilikuweza kufuatilia uzingatiaji washeria nakanuni nataratibu katika kushughulikia wa ajira unaofanywa nawaajiri namamlaka za ajira ‘’Alisema Neema Tawale.
Neema tawale alisemakuwa tumehiyo yautumishi waumma itaendelea kuwa chukulia hatua watendaji wakuu nawatumishi wa umma wanaokiuka sheria nataratibu za ajira endapo watumishi hao watabainika kuwa waajiri au mamlaka za ajira zimeshindwa kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuwaita waajiri Hao kwa mujibu wa sheria za ukiukwaji wautumishi wauma kifungu10(h)cha sheria yautumishi waumma  namba 8 ya mwaka 2002 .

Alisema ilkuweza kukabiliana naupungufu wa rasmali fedha katika tume hiyo imeendelea kuwasiliana naserikali kuhusu kuongezewa wigo mpana wabajeti yake ilkuongeza idadi yawatumishi kwa mujibu waikama yake .

‘’tumeendelea kuwasiliana naserikali kuhusu kuongezewa wigo wa bajeti yake nakuongezawa watumishi kwamujibu waikama yake.’’Aliongeza Naibu katibu mkuu Neema tawale .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni