Ijumaa, 29 Agosti 2014

WAGANGA WA TIBA ASILI WAASWA KUTOPINGANA NATAFITI ZINZOHUSU TIBA YA UGONJWA WA UKIMWI.

Timothy Marko
Serikali kupitia wizara ya afya nchini imewataka waganga watiba asili kujiepusha na matangazo yanayokinzana na taarifa za kiutafiti katika suala zima la kutibu na kuponya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugojwa wa UKIMWI .
Akizungumza jijini leo na waganga wa tiba asili waziri wa ustawi wajamii Seif Rashidi amewataka waganga hao watiba asili nchini kukuza ushirikiano nawatalamu watiba yakisasa ilikuweza kupata ufahamu nauelewa mkubwa kuhusiana namagonjwa na namna yakutumia dawa mbalimbali ikiwemo pamoja nadawa za asili.
‘’Nawashauri waganga wa tiba asili kujiepusha na matangazo yanayokizana nataarifa za kiutafiti katika suala zima la kutibu na kuponya magonjwa mbalimbali kwa mfano UKIMWI ‘’Alisema Waziri seif RASHID.
Waziri Seif RASHID alisema kuwa watalamu hao watiba za asili hawanabudi kushirikiana nawatalaam watiba za kisasa ilikuwezakupata ufahamu wa magonjwa na namna kutumia dawa mbalimbali ikiwemo dawa za asili .
Alisema kuwa Tanzania inayomiti mingi nakati yahiyo bado haija fanyiwa kazi katika utafiti ilikuweza kubaini uwezo wakutibu magonjwa mbalimbali .
‘’Chamngamoto iliopo nijinsi gani mitidawa hiyo inaweza kufanyiwa utafiti nakuwa dawa bora nasalama kwa watumiaji kwa mfano namna yakuziweka mifumo yahuduma za afya ilikila mwenye uhitaji aweze kuzipata kwamadhumuni yakuuza lengo hili nimuhimu na kisha kuzalisha dawa zitokanazo mitidawa hiyo watalamu watibazote hawanabudi kushirikiana ilikuweza kubaini dawa sahihi inayofaa kwa matumizi ya mgonjwa ‘’Aliongeza Waziri wa afya naustawi wajamii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni