Timothy Marko.
Kituo cha
runinga kijulikanacho TV1 ikishirikiana na kampuni ya kurusha
matangazo ya kijiditi ya star times kupitia king’amuzi chake imeweka mikakati yakuboresha vipindi vyake
ili viweze kuwa fikia watazamaji wengi waliopo hapa nchini.
Akizungumza
nawaandishi wahabari leo jijini, mkurugenzi mtendaji wa TV 1 Marcus
Adolfson amesema kituohicho kimelenga
kumburudisha mtazamaji kwakuteng’eza
vipindi vya uhalisia ,magizo,tamthilia,watoto,muziki pamoja na vya majadliano.
‘’TVI
nikituo ambacho kimepanga kumpatia mtazamaji vipindi bora kabisa vya burudani katika
kila aina ya burudani ikiwemo makala,reatilty show ,maigizo,tamthilia ,vipindi
vya watoto,muziki ,talkshow, filamu za kitanzania ,filamu za
kiafrika,marekani’’alisema Marcus Adolfson.
Adolfson
aliongeza kuwa vipindi hivyo vitakuwa na maudhui ya ndani nanje na vyenyeubora
wahali yajuu ilikuweza kuwa fikia watazamaji .
Alisema
lengo la kituo hicho charuninga nikuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya
utangazaji hapa nchini kwalengo lakutoa vipindi vya burudani tosha kwa
mtazamaji.
‘’TV1
imeingia katika sekta ya utangazaji hapa Tanzania ikiwa nalengo lakuleta mapinduzi katika sekta
hii ya utangazaji ikiwa nania moja ya
kuleta mapinduzi katika sekta ya
utangazaji wa runinga kwakutoa vipindi
vitavyoleta burudani tosha kwa watazamaji’’alisema Adolfson.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni