Timothy Marko.
WAFANYAKAZI
wa shirika la reli nchini wameitaka serikali kufikia makubaliano yanyongeza ya
mshahara shilingi laki tatu kwakiwango chachini nakile chajuu kiwe
nishilingi 450,000 kwamwezi.
Akitoa juu
yamwenendo wa maafikiano hayo leo katibu mkuu wa trau jumuhia ya wafanyakazi wa reli nchini ,Erasto kihwele amesema baada ya kupeleka
mjumbe wao katika bunge la katiba linaloendelea mjini Dodoma nakisha mjumbe
huyo kuweza kukutana nawazirimkuu
Mizengo pinda alisema kuwa waziri mkuu ametoa ahadi yakutana
namjumbehuyo alhamisi ya wiki hii ilikutatua madai yao.
‘’tukamweleza
kuhusiana namadai yetu alikiri wazikuwa anayafahamu machache moja ya madai yetu
mojaikiwa nimadai yakuwa ni nyongeza yamshara aliongeza kukwa nasikia
nyinyi ni chadema tukakana tukamwambia
sisi ni TRAU’’alisema Erasto kihwele .
Erasto
kihwele alisema serikali imeridhia shilingi laki mbili na arobani kama kima
chachini aliongeza kuwa kumekuwa na
mgongano wakimasilahi kati ya wafanyakazi warahaco na kusiitiza kuwa serikali ipokatika mchakato
wakushugulikia madai yao.
Kwa upande wake
mwenyekiti wa jumuhiahiyo Stanely maboko alisema kuwa bajeti yaserikali ijayo itaweza
kutatua mgogoro uliopo baina serikali na wafanyakazi washirika hilo
‘’kwakweli
katibu wa wizara yauchukuzi atakwenda kuyashughulikia madai yetu yanyongeza ya
mshahara nimetoka kusema kuwa mtu asiseme uongo maana uongo utahukumu lakini
kusema kweli bajeti itayokuja ndio itatua mgogoro huu ni uongo ‘’alisema
stanely maboko.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni