Jumanne, 18 Machi 2014

MAMLAKA YA MAWASILIANO NCHINI TCRA KUFANYA ZIARA KWENYE VITUO VYA TELEVISHENI NAREDIO


Timothy  Marko.
Mamlaka  ya mawasiano nchini inatarajia kufanyaziara mbalimbali katika vyombo vya habari hasa vile vinavuhusiana nautangazaji  ikiwanalengo kutazama na kuangalia maudhui yaliyopo katika vyombo hivyo  pamoja namazingira ya kazi katika vituo hivyo .

Akizungumza na waandishi wahabari  leo jijini mwenyekiti wakamati yamaudhui Magret Nyangi amesema lengo kufanyaziara hiyo kwenye vyombo vya habari nipamoja nakukumbusha kanuni za  utangazaji nakuhakikisha maudhui yanchi yanakuwa salama.

‘’lengo lakamati hii nikufuatilia maudhui ya utangazaji pamoja nakuangalia mazingira yakazi inapofanyika lengo kuu nikukumbusha kuhusiana nakanuni za utangazaji kuhakikisha maudhui yanchi yanakuwa salama’’alisema Margeti nyangi .

Magreti nyangi alisema lengo hilo lakutembelea vituo vya redio na televisheni kuhakikisha taarifa zozote za uchochezi zinachukuliwa hatua  ilikuhakikisha maudhui yaliyolengwa yanamfikia msikilizaji na mtazamaji kwausahihi.

Alisema kama hatua madhubuti hazitachukuliwa dhidi ya vyombo vinavyo potosha ukweli nakuleta uchochezi vyombo hivyo vya habari vinaweza kuleta madhara .

‘’kama mnavyo fahamu tansia yautangazaji ni muhimili wan ne wa dola hii niziara yamwisho katika kanda zajuu kusini katika mikoa ya mbeya hali ilikuwa siyakuridhisha kumekuwa na changamoto yataaluma kuna vituo vimewajili watu wasio nauzoefu wakutosha’’alisema Magreti nyange mwenyekiti wa kamati wa maudhui wa mamlaka ya mawasilano.

Kwa upande wake mjumbe wakamati hiyo Joseph Mapunda alisema katika tahimini iliyo fanywa na mamlaka hiyo kupitia kamati iliyoteuliwa kushugulikia maudhui ili baini kuwa moja ya changamoto zilizopo kwenye  baadhi ya vyombo vyahabari ni vifaa duni.

Joseph Mapunda alisema katikatathimini iliyofanywa watendaji wengi waliopo katika vyombo vya habari hawana mikataba ya ajira
.
‘’Tuliona vifaa vikiwa niduni inabidi hali iboreshwe napia tulionakuwa watendaji wengi waliopo katika vyombo hivyo niwa muda hawana ajira zakudumu’’alisema Mapunda.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni