Alhamisi, 20 Machi 2014

CCM YASHIKILIA MSIMAMO WAKE YAPINGANA NA TUME YA JAJI WARIOBA KU HUSIANA NA MUUNDO WA SERIKALI

Timothy Marko.
Chama cha mapinduzi  kimetoa  msimamo wake juu yamuundo wa serikali  unaotakiwa kuwepo kwenye katiba ambapo chama hicho kimeendelea kushikilia msimamo wake waserikali mbili katika  katiba mpya.
Msimamo huo unafuatiwa baada ya jaji joseph warioba kuwasilisha rasmu ya pili nakuotoa maoni ya tume hiyo juu yamuundo wa serikali ambapo tumehiyo imekuwa namaoni yaserikali tatu kama ilivyo jadiliwa na baadhi ya wasomi na wanasiasa kuhusiana namuundo wa serikali .
Akizungumza nawaandshi wahabari leo jijini katibu mwenezi wahamahicho Nape nauye amesema chama chake kinaamini muundo bora utakao dumisha serikali nimuundo wa serikali mbili.
‘’kuhusu msimamo wa chama chetu tunaamini mfumo uliopo wa serikali yamuungano nakimsingi CCM ndio waasisi wamuungano nab ado CCM ina masilahi yake  CCM inaamini huu ndio mfumo bora utakao dumisha muungano sio mwingine niserikali mbili’’alisema nape nauye.
Nape alisema mwisho watume yawarioba sio mwisho wamjadala wa katiba balinimwanzo wakukuza mjadala kama maoni ya watu wengi yataridhia mfumo huo Chama chake kitakubali maoni hayo.
Alisema bunge lakatiba limeundwa baada yamakundi mbalimbali kuwa nawajumbe ambao watawakilisha maoni aliongeza nakusema maoni yaliyotolewa mnimaoni yawananchi kwani wananchi ndio wa takao fanya maamuzi ama serikali  tatu ama mbili.
‘’sisi tuta gundua maoni yaliyo wasilishwa yakuhusu serikali mbili ama tatu baada yakura yamaoni ku[pitiswa kama watanzania wanataka muundo wa serikali tatu ama mbili kwahiyo tunasubiri kura ya maoni kutoka kwa wananchi.’’alisema nape nauye.
Aliongeza kuwa CCM inaaminikuwa katika muungano wa sasa kuna changamoto tu nadawa  yatatizo lililopo kwenye muungano nikuzifanyia kazi changamoto nakuzitatua nasio kubadilisha muundo wa serikali .
Alisema hii nifursa nzuri wakuziangalia changamoto za muungano sasa umefika wakati wakufanya mabadiliko nakusitiza kuwa chama chake kitaendelea kuheshimu maoni namwazo yawatanzania endapo serikali tatu zitakubaliwa .
‘’imani yetu haibadilishi maoni tofauti bado tunaamini kuwa  yapo mapungufu lakini suluhisho wa mambo hayo si serikali tatu ‘’alisema katibu mwenezi nape nauye.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni