Timothy Marko
Jeshi la kanda maalumu Dar es salaam limegundua mbinu mpya za usafirishaji wa madawa yakulevya zinazotengenezwa viwandani ikiwemo Cocaine na heroine ,ambapo mbinu hizo nipamoja nakutumia njia yakusafirishia vifurushi kwa njia ya kusafirishia vifurushi ya DHL .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo, kamishina wa kanda maalumu wa Dar es salam Suileiman kova amesema mnamo march 18 mwaka huu jeshi hilo lilipata taarifa kwamba kuna watu wanne wanajihusisha na usafirishaji wa madawa ya kulevya walikuwa katikaofisi za DHLkaribu na barabara ya sam Nnujouma mkabala na eneo la mlimani city.
‘’makachero wapolisi walifuatilia sualahilo na hatimaye march 18 mwaka huu majira ya saanane nanusu ndipo makachero wetu waliwabaini watu watatu ambao wanaume walikuwa ni wa wawili raia wanigeria na mwanamke mmoja raia watanzania ‘’alisema kamanda Suleiman Kova .
Kamanda kova alisema watu hao walikamatwa wakiwa na kifurushi ambacho kilikuwa kilikuwa kinasafirishwa kwenda nchini Liberia nakuongeza kuwa ,jeshi hilo lilifanya upekuzi kwa makini nakubaini ndani yakifurushi hicho kulikuwa nakitabu cha lugha ya kingereza .
Alisema katikakurasa hizo zakitabu hicho kurasa za mwanzo na za mwisho kulikuwa naunga aina ya kahawia ambao uliashiria kuwa ni heroine aliongeza kuwa unga huo ulikuwa naujazo wa nusu kilo.
Aliongeza kuwa pamoja nakubaini uhalifu huo mpya wakusafiris ha madawa yakule vya jeshi lake bado linaendea nauchunguzi zaidi.
‘’tuna washikilia watuhumiwahao ambao ni Sunday CHAIDIKA OBI(42) ambaye ni raia wa Nigeria mkazi wakimara temboni CHUKWUMA ENHFAVOR (31)Raia wa Nigeria mkazi wa bugurni, Frank lini Indubuisi (41)Raia wa Nigeria mkazi kimara temboni Hadija jumanne ngoma (43)Raia wa Tanzania mkazi wa kimaratemboni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni