Ijumaa, 21 Machi 2014

SERIKALI IMESEMA ITASHIRIKIANA NA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUPAMBANA NA UJANGILI NCHINI

Timothy  Marko.
Serikali  imesema kuwa  inaendelea kufanyadoria katika sehemu za bahari kwakushirikiana nataasi za kimataifa nazilezandani ilkuondokana na tatizo lauvuvi haramu katika maeneo ya ukanda wa uchumi wa bahari.
Aidha imeongeza kuwa serikali imefanya operesheni nne  kwakushirikiana nanchi za Kenya nauganda chini yaprogramu ya Smartfishkwa ufadhili  wa jumuhia yaulaya kupitia kamisheni ya bahari yahindi  ikiwa nalengo lakuondoa wavuvi haramu.
Akizungumza leo jijini na waandishi wa habari msemaji wa wizara ya uvuvi na maendeleo ya mifugo Mohamed Bahari amesema kuwa serikali itashirikiana nanchi za msumbiji Kenya Mauritus ushelisheli na Comoro katika kupambana nauvuvi haramu katikaukanda wa pwani .
Mohamed bahari alisema uvuvi haramu ni uvuvi ambao hufanywa bila kuzingatia kanuni zinazosimamia rasmali za uvuvi kitaifa na kimataifa aliongeza kuwa uvuvi huo unajumuhisha kuvua rasmali za bahari bila kuwa na leseni kufanya shughuli za uvuvi katika maeneo yasiyo ruhusiwa kuvua kwa zana zizisizo kubalika kwa mfano nyavu za macho madogo makokoro natimba.
‘’changamoto kubwa katika sekta ya uvuvi nikupambana na uvuvi haramu  huu niuvuvi usiotolewa taarifa wala kudhibitiwa  serikali inatoa elimu juu ya athari za uvuvi haramu kuimarisha vituo vya doria kwa kuwa ajiri Watumishi nakuwapatia vitendea kazi’’alisema Mohamed Bahari .
Bahari alisema kupitia wizara yake inazingatia umuhimu wakuwepo kwa uvuvi na wenye tija hatahivyo adhima hiyo itafanikiwa endapo jamii ita eleweshwa kuwa rasimali za uvuvi sio za serikali bali nizao wanawajibu kulinda ipasavyo.
‘’halimashauri zote zinazojukumu lakusimamia rasilimali hizi katika maeneo yauvuvi yapo chini ya halimashauri husika naza mapato kutokana na rasmali hizo’’alisema Bahari.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni