Alhamisi, 5 Januari 2017

WAZIRI WAMAMBO YANJE WA CHINA KUTEMBELEA TANZANIA


Tokeo la picha la wang yi 
.
TIMOTHY MARKO


WAZIRI wa Mambo yanje wa Jamuhuri ya China WANG Yi anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Tanzania januari 9 mwakahuu.

Akizungumza na waandishi wa habari Afisa Habari Wa wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga amesema kuwa ujio wa waziri huyo unafuatia Hatua ya Tanzania kuelekea katika uchumi wa viwanda ambapo china na Tanzania wamekuwa namahusiano yakiuchumi kwa zaidi ya miaka 50.

''Wakati ziara hiyo Mheshimiwa Wang Yi atakutana na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk.John  pombe Magufuli kwa leongo lakumsalimia sambamba nahilo Waziri Wang Yi atafanya mazungumzo na waziri wamambo ya nje Agustino Mahiga kuhusu masuala mbalimbali yaushirikiano baina ya Tanzania na china naushirikano kimataifa '' Alisema Mindi Kasiga .

Kasiga alisema viongozi wote wawili watazungumzia hali yausalama na amani  baharini katika eneo labahari iliopo katika bahari yakusini wa china pia mgeni rasmi huyo alisema mazungumzo hayoyatafutiwa namkutano wamaziri navyombo vya uasalama .
Alisema Kutokana mazungumzo hayo yatafutiwa na mkutano wamawaziri navyombo vya habari ambapo wataeleza makubalianokati eneo lafrika mashariki pamoja sambamba namawaziri wataeleza makubaliano yao waliyo fikia kwenye vombo vya habari.

''mbali miradi mingine ambapo china inaungamkono pamoja china imehaidi kusaidia tanza nia kutokana  ambapo china inaungamkono wa afrika na watania wakutaka china ipewe duru yaviti viwili katika baraza usalama ''Aliongeza YI wang .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni