Ijumaa, 27 Januari 2017

WAZIRI WA ZIMBWABWE ATEMBELEA MRADI WA BRT NCHINI TANZANIA.



Timothy Marko.
Tokeo la picha la brt tanzania
MRADI WA MABASI YA MWENDO KASI
WAZIRI wa serikali za mitaa  wa nchini ZmbabweSavior Kasukuwele  ameipongeza nchi ya Tanzaniakwa kuwa nchi yatatu Barani Afrika kuwa na Mradi wa mabasi ya mwendo kasi (BRT)Baada yanchi ya Nigeria pamoja na Afrika kusini kuanzisha mradi huo .

Akizungumza mara baada yakutembelea Mradi huo jijini Dar es salaam Savior kasukwele amesema kuwaziarayakutmbelea mradi huo inalenga juu yakupata uzoefu juu ya Mradi huo baada ya nchi yake kukabiliwa nachangamoto yausafiri kama ilivyokuwa nchi ya Tanzania.'

''Nimekuja Tanzania kuja kujifunza juu ya mradi huu wa Mabasi yaendayo haraka(BRT)ili kuweza kutatua changamoto zilizopo nchini kwangu zimbawe za usafiri kama ilivyokuwa TANZANIA awali naipongeza nchi yatanzania kuwa nchi yatatu kwa usafiri huu ''Alisema waziri kasukwele .

katika hatua nyingine waziri huyo aliweza kutembelea mradi huo katika vituo mbalimbali vya mradi huo ikiwemo katika maeneo ya katikati yajiji na ubungo .

Naye WAZIRI wa tamisemi George simbachawene awali alisema kuwa Hatua yakuja kwakiongozi huyo kutoka zimbabwe nihatua nzuri yakujenga mahusiano yakiuchumi baina ya nchi hiyo na Tanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni