Timothy Marko.
SOKO la hisa la Dar es salaam (DSE)limesema kuwa kumekuwa na mwamuko mkubwa wa uwekezaji katika hati fungani hali inayochangiwa nawawekezaji wengi kuogopa kupoteza faida katika biashara zao .
Akizungumza na Wandishi wa Habari jijini Dar es salaam Afisa mwandamizi wa Soko hilo Mary Kinabo amsema kuwa katika takwimu za mauzo yahisa katika soko hilo limeonesha kuwa kwawiki hii hatifungani zimekuwa zikiuzwa nakunuliwa kwa tahamani ya bilioni 22 .1
''hali hii imeathiri Mauzo kwa asilimia 87nakuweza kufikia shilingi 0.5 bilioni hadi kufikia bilioni 4 kwa wiki iliyopita wakati huo kiwango chahisa zilizouzwa nakununuliwa kimepungua kutoka asilimia 85 hadi kufikia shilingi 101,809 kutoka shilingi 671,618 ya wiki iliyopita ''.Alisema Mary Kinabo
Afisa Mwandamizi KINABO alisema kuwa thamani ya hatifungani imeongezeka mara nne baada yaongezeko la asilimia 33 huku thamani ya mauzo katika soko la hisa hati fungani sita ziliuzwa kwa shilingi biloni16.6
Alisema Makampuni ya Dse ,TBL nabenki ya CRDB kwa asilimia 13 wakati huo huo alibainisha kuwa Uwepo wa ngu yasoko kunachangia kushuka idadi watalii . ''Vishiria vya soko imewza kuwepo imara sekta yaviwanda kuweza kubaki wastani uleule shilingi 5,031 haya nimabadiliko yawiki hadi wiki ''Alisema
Mary kinabo amsemakuwa sekta yahuduma za kibishara inaendela kwashilingi 3,157.''AliongezAKinabo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni