Jumatatu, 14 Novemba 2016

SHUGHULI ZA KIUCHUMI ZA ATHIRI MWENDO WA HISA DSE

Tokeo la picha la patrick mususa

Meneja Mauzo na Biashara DSE Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es salaam (Hawapo pichani )juu ya mwenendo wa soko la hisa Dar es salaam leo

Timothy Marko.
Mabadiliko ya shughuli za kiuchumi katika uzwaji wa hisa jijini Dar es salaam yametajwa kuwa nichanzo kikuu cha ukuaji wa mauzo ya hisa kutoka shilingi bilioni 5.3 hadi kufikia 8.3 kwa wikiiliyopita .

Hayo yamsemwa na Meneja Biashara naMauzo wa Soko lahisa la Dar es es salaam Patrick MUSUSA wakati akizungumza na waandishi wahabari juu ya mwenendo wasoko lahisa la Dar es salam ambapo amesema ongezeko hilo la asilimia 56 limetokana sekta yaviwanda kupanda kwapointi 52 ikilinganishwa nasekta yakibenki iliyongezeka kwa asilimia nane .


''Wakati Takwimu zikionesha mauzo yamepanda kutka biloni 5.3 hadi kufikia bilioni 8.3 ukubwa wa mtaji wa soko umeweza kupanda kwa ailimia 0.4 hadi kufikia trioni 21.9 kutoka trioni 21.8
huku kampuni zinzoongoza kwamauzo nipamoja na swisport (45.20) ikifuatiwa DSE (39.64 ) pamoja na TBL Kwa asilimia 11.49''Alisema Meneja Biashara na Mauzo Patrick Mususa .

Mususa alisema kuwa kiwango cha hisa za kuuzwa kimeongezeka marambili kutoka miloni 1.8 kutoka 869,453 kwa wiki iliyopita aidha sekta yahuduma yakifedha imEPANDA kutokana nabei ya mauzo yahisa katika kaunta DSE .

Alisema huduma za sekta yakifedha imeshuka kwapointi 376 kutokana nabei yahisa katika kaunta yaswispot kushuka kwa asilimia 14 .







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni