MKURUGENZI WA OFISI YA TAKWIMU Dk.ALBINA CHUWA |
NCHI Za Afrika zimetakiwa kutumia teknolojia yaKomputer ilikuweza kuboresha zoezi laukusanyaji wa Takwimu ili kuweza kuleta matokeo bora yatakayo endana na malengo endelevu yamilenia ya2023 na 2063 .
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu nchini Albina Chuwa katika ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wadau wa Takwimu katika nchi za afrika pamoja naulaya mapema hii leo jijini Dar es salaam ambapo Dr Albina Chuwa amesema kuwa upatikanaji wa takwimu bora nasahihi kwa kutumia teknolojia kutawezesha nchi hizo kuweza kufanya mipango ya maendeleo ambapo moja agenda yamalengo endelevu niuboreshwaji watakwimu ili kuwa wezesha watungasera kufanya mipango yamaendeleo.
'' Ukusanyaji wa Taarifa sahihi na takwimu sahihi zinazozingatia misingi ya ukweli nauwazi kutawezesha serikali kuweka mipango mbalimbali yamaendeleo ili kuwawezesha wananchi kupatahuduma bora katika sekta mbalimbali ''Alisema Mkurugezi wa Ofisi ya Takwimu Albina Chuwa .
Dk.Albina Chuwa alisema kuwa mpango wauboreshwaji watakwimu nchini umetokana namipango mbalimbali ikimwemo ya Africa Peer Mechanism (APRM)unaohamasisha utawala bora katika nchi hizo .
Alisema kutokana nakuwepo kwa umuhimu wa mpango huo ofisi ya Takwimu imekaanzisha tume ya maendeleo yakiuchumi barani afrika ikiwa nalengo lakuboresha miundombinu ya utawalabora ilikuweza kuborsha sektahiyo muhimu barani afrika .
''Nchi za ZAMBIA Tanzania Pamoja Malawi ndizo nchi zakwanza katika utekelezaji mpango huo 2007 na kuweza kukamilisha mpango huo November 11 mwaka huu ''Aliongeza Chuwa .
Mkurugezi wa ofisi yaTakwimu Nchini Kenya Zakaria Mwangi amesema kuwa Tanzania imekuwa ikipiga hatua kubwa juu yautekelezwaji wamaengo ya milenia ya STG katika kuboresha Rasmali watu na uboreshaji wa Teknolojia .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni