Timothy Marko.
Serikali imekanusha madai yakutokuwepo kwa madhara yaugonjwa Sotoka ambao huwa pata wanyama kwa binadamu kama ilivyoanishwa jana na Gazeti moja likiwa nakichwa cha habari ''Sotoka yaua wawili na wanne walazwa'' .
Akitoa ufafanuzi juu ya ugonjwa huo uliozua taharuki kwa wanachi Katibu Mkuu wa sekta ya mifugo nchini Maria Mashingo amesema kuwa ugonjwa huo hauna madhara kiafya kwa binadamu ambapo alisitiza kuwa ugonjwa huo huwa pata wanyama pekee .
''ugonjwa huu wa Sokota unajulikana kwakingerza Rinder wakati ugonjwa huu umegawjiwa kwa jina rinderpest naule wakondo nambuzi waliitwa pests Des ruminaty ''Alisema Katibu Mkuu Maria Mashingo
Katibu Mkuu Mashingo amesema kuwa ugonjwa huo umeshatokomezwa hapa nchini hivyo gazeti hilo lilileta hofu isiyo stahili ugonjwa uliopo kwasasa ni sotoka ya mbuzi na kondoo .
Alisema kutokana nakuripotiwa kwa ugonjwa huo kimakosa na gazeti hilo umesababisha vifo vya watu wawili na wanane kulazwa katika hospitali enduleni ugonjwa huo unawezekana kuwa nikimeta ambao huathiri binadamu ambao upo katika wilaya ngorongoro .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni