WAZIRI WA UJENZI ,MAWASILIANO NAUCHUKUZI PROFESA MAKAME MBARAWA |
Timothy
Marko.
Waziri
waujenzi uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka bodi ya makandarasi
kuwaanika orodha ya wakandarasi wabovu wanaokiuka sheria na miiko ya wabunifu
wa majengo ikiwemo wanao chukua rushwa katika miradi mbalimbali .
Wito huo
aliutoa wakati waufunguzi wasemina endelevu ya ishirini nasita ya bodi
yausajili wabunifu wa majengo na wakadiriaji majenzi uliofayika jijini Dar es salaam
profesa Makame Mbarawa amesema Kuwa nivyema bodi hiyo kuanika orodha hiyo
kwenye vyombo vya habari .
‘’Nina
wataka watakaoshindwa kusimamia sheria na watakao husika navitendo vyarushwa kuweza
kufutiwa maramoja usajili wao ,naninawataka wanajamii kutumia Makandarasi
walisajiliwa nabodi ilikuondokana navitendo vya ukiukwaji wa maadili yataaluma ‘’Amesema
Waziri wa ujenzi Profesa Makame Mbarawa .
WAZIRI wa
Ujenzi Profesa Makame amesema kuwa sambamba nakutumia makandarasi waliosajiliwa
nabodi hiyo ,aidha amewataka kuendana nakasi
yasayansi na teknolojia .
Amesema kuwa
nivyema bodi hiyo ikatoa program mbalimbali za Tehama katika vyuo mbalimbali
ilkuweza kupunguza matumizi yakaratasi na kuwawezesha wahitimu wataaluma hiyo
kujua mambo yataluma hiyo kabla wajaingia katika soko laajira .
‘’ninaomba
muweze kuzitoa hizo softwere iliziweze kutumia katika vyuo mbalimali ilikuweza
kuwasaidia watalaamu wa ukandarasi na kupunguza matumizi yakaratasi ‘’Aliongeza
profesa Makame Mbarawa .
Aliongeza
Kuwa sambamba nakuondokana namatumizi yakaratasi nakwenda kwenye ulimwengu
watekinolojia pia amewataka kuwa waadilifu nakuweza kujitangaza katika vyombo
vyahabari .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni