Mwenyekiti wa TPSF REGINAL MENGI |
Timothy
Marko.
TAASISI
Binafsi nchini(TPSF) inatarajia kupeleka Agenda zipatazo kumi kwa serikali ili kuwezesha sekta yaviwanda kuweza kuchangia
uchumi nchini .
Akizungumza
na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa sera katika taasisi
hiyo Gili Teri amesema kuwa moja ya agenda zitakazo tolewa mapendekezo kwa
serikali ,nipamoja uzalishaji umeme ilikuweza kuchangia pato lataifa nakukuza
uchumi .
‘’Agenda
nyinginezo zitakazo jadiliwa nakupeleka mapendekezo kwa serikali nipamoja sekta
yabandari ambapo tutatoa mapendekezo juu ya uboreshaji wasekta yabandari
sambamba uboreshwaji wa mifumo ya kodi katika mamlaka ya mapato TRA’’ Alisema
Mkurugenzi wa Sera Gili Teri .
Mkurugenzi
wa Sera Teri alisema kuwa majadiliano hayo yataiiwezesha serikali kupanga
mikakati kwa kushirikiana nataasisi binafsi ilikuweza kutatua changamoto la
ukosefu wa ajira nchini
.
Alisema kuwa
moja yaagenda muhimu itakayo tolewa mkazo zaidi nakutolewa mapendekezo kwa
serikali nipamoja nakuboresha sekta yakilimo ilikuweza kutatua changamoto
yaajira nchini .
‘’Tunataka
kuteng’eneza ajenda ambayo tutaiwakilisha kwa serikali juu yauboreshwaji
wasekta yakilimo nakuwa kilimo cha kibiashara ilikuweza kuchochea uchumi
nakuondokana tatizo la ajira kwa vijana ‘’aliongeza Teri .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni