Jumanne, 13 Septemba 2016

TAASISI YA DECLUTURE YAWATAKA WANAJAMII KUWA KUMBUKA WATOTO YATIMA .



Timothy Marko.
TAASISI ya Decluter imewataka wanajamii nchini, kuweza kujitokeza kuwachangia watoto yatima ilikuweza kukidhi mahitaji yao ya muhimu .

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salam Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Narsa Karl Mbululo amesema kuwa kampeni hiyo inalenga kuwa kuikumbusha jamii juu ya umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima ikiwemo malazi pamoja na chakula .

‘’Katika Kampeni hii tunaiomba jamii hususan Wafanyabishara kuweza kujitokeza katika kuchangia na kununua baadhi ya bidhaa zitazouzwa ilikusaidia fedha zitakazo tumika katika kuwa saidia watoto yatima ‘’Alisema Narsal mbulilo .

Mbulilo alisema kuwa kuwa katika kampeni hiyo inaendana sambamba na kuwasaidia wanawake wanaoishi katika mazingira magumu .

Alisema kampeni hiyo inaendana sambamba na kaulimbiu yajali afya za wakina mama okoa maisha yawatoto yatima ambao niviongozi wa taifa la kesho .

'''Kampeni hii itanza mwezi september na kuishia mwezi december katika kampeni hii tuwawataka wanajamii nawafanyabishara kuweza kutoa michango yao nakushiriki katika chagizo ilikuweza kuwezesha matembezi ya kuwasaidia watoto yatima ''Aliongeza mbulilo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni