Jumatatu, 19 Septemba 2016

JAJI MKUU AZINDUA MPANGO MKATIKATI WA MAHAKAMA .



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2r2ese0qPvugFXTce10rWYFN10saYVvI7sZy6sAU-0PGZ_nuGjQDI8A8hKVQ5WyRg5gJDUJjRS_eG3nk8SsO6lGWP5gM580OF3QcV5GYDJI3I0mT8Wy8ma0QZLqbQdlzEPt64XoznlQN-/s1600/1.JPG
JAJI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI JUU MAPANGO WA MIAKA MITANO WA MABORESHO YA MAHAKAMA NCHINI
Timothy Marko.
JAJI wa Mahakama kuu Othumani Chande leo amezindua mpango mkakati wa kuhudumia mahakama kwa mifumo ya Tehama ,mifumo hiyo inatarajiwa kutumika sehemu mbalimbali za mahakama nchini iilikuweza kuharakisha mashauri mbalimbali yanayotolewa namahakama kuu.
Akizindua mpango huo wenyekurasa kuminasaba jijini Dar es salaam jaji Othumani Chande 

amesema kuwa mpango huo utaendana mambo tisa yaliypo katika mpango huo ikiwemo umuhimu wa majaji namahikimu wakuhifadhi nyaraka kwanjia ya Tehama pamoja kuboresha mifumo ya utendaji wa  majaji na watendaji wa mahakama unaozindatia weledi washeria nchini .

‘’Mpango huu unalenga kuongeza ubora kwa watoaji hukumu yani(quality justice )na uharakishaji wa utendaji wa haki ikiwemo utunzaji wakumbukumbu na usuluhishi wakesi unaozingatia weledi wataluma yasheria ‘’Alisema jaji Mkuu Othumani Chande .

JAJI Mkuu Chande alisema kuwa sambamba nauboreshwaji wakumbukumbu ,pia mpango huo unalenga kuimarisha ukaguzi wa mahakama za mwanzo zawilaya nazile zakati nakuboresha miundombinu ya mahakama .

Alisema kuwa Mradi huo wauboreshaji wamiundombinu namafunzo yawatendaji wa mahakama unafadhiliwa nabenki yadunia ambapo jumla wilaya 26 zinatarajiwa kunufaika nampango huo ambapo wiliyahizo zimekuwa zikikabiliwa nachangamoto ya Mahakama za wilaya .

‘’Mradi huu unaofadhiliwa nabenki yadunia unatarajiwa kuzinduliwa tarehe 21 ya mwezi September mwaka huu tunatarajia mgeni Rasmi atakuwa ni wazirimkuu ambaye anatarajiwa kuzindua mpango huu ambapo Nyanja mbalimbali za utawalabora namifumo yamahakama vitaboreshwa ‘’ Aliongeza jaji Mkuu Othumani Chande .

JAJI MKUU Chande aliongeza kuwa mradi wauboreshwaji wamiundo mbinu na kuwajengea uwezo wa tumishi wamahakama wapatao 6400 unatarajia kugharimu dola milioni 640 sawa bilioni 140 kwafedha za kitanzania .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni