![]() |
waziri wanishati na madini Sospeter MUHONGO |
Timothy
Marko .
SERIKALI
imesema itahakikisha sekta ya uchimbaji wa makaa yamawe na jasi inakuwa shikirikishi kwa kuwa shirikisha
wachimbaji wadogo wadogo nawale wa kati ilikuweza
kukuza sekta ya madini hayo .
Akizungumza
na waandishi wa Habari mara baada yamkutano ulio wakutanisha wadau hao jijini
Dar es salaam Waziri wanishati na madini Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa
ujumuishwaji huo katika uchimbaji wa jasi
na makaa yamawe kwa wachimbaji
wakubwa na wadogo ilikuweza kutatua changamoto baina yao ikiwemo ukosefu wa
mitambo .
‘’hii
imetokana kuwepo kwa uhitaji mkubwa wa madini haya katika viwanda vya cement
ambavyo hutumia makaa yam awe na madini ya jasi katika uzalishaji wa bidhaa
hiyo ilikuweza kukuza soko la madini hayo na kukuza ajira na kupatia serikali
mapato kutokana na madini haya ‘’Alisema Waziri Sospeter Muhongo .
Waziri Muhongo
alisema kuwa katika ushirikishwaji wa wadau hao wa sekta ya madini hayo utaendana
sambamba na ukokotoaji wa kiwango cha
mahitaji ya madini hayo katika viwanda matumizi ya uzalishaji wa bidhaa hiyo .
Alisema kuwa
ushirikishwaji katika sekta hiyo ya madini inalenga kukuza misingi yahaki kwa
kushilikisha viwanda mbalimbali ikiwemo viwanda vya jasi i na makaa yamawe kwa kukuza kiwango chautalaamu wa madini
hayokatika ngazi juu .
‘’Tuna
tarajia kuwa peleka watalamu wetu hivi karibuni ilikuweza kupata uzoefu
namafunzo ya uchimbaji wa makaa yam awe nchini
india na china ‘’Aliongeza waziri Muhongo .
Aidha
,katika hatua nyingine Kamishina kamishina wa kanda ya nyasa ya jumuhia hiyo ya
wachimbaji fred Malope amsema jumuhia hiyo imekuwa ikikabiliwa nachangamoto ya
kuyafikia madini hayo hali inayo changiwa na uhaba wavifaa vya uchimbaji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni