![]() |
Naibu waziri wa ujenzi ,uchukuzi na mawasiliano mhandisi Edwin Ngonyan |
Timothy Marko.
Naibu waziri wa ujenzi ,uchukuzi na mawasiliano mhandisi Edwin Ngonyani amesema kuwa serikali inapoteza shilingi bilioni 18 kila mwakaHali inayo changiwa na kutokuwa narada ili kuweza kuimarisha usalama wa viwanja vyandege.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Naibu waziri Ngonyani amesema kuwa usalama wa anga nijambo muhimu hivyo nilazima kuwekeza katika ununuzi wa rada ili kuweza kuboresha sekta ya anga .
''Tukizungumzia suala lausalama wa anga ni uwezo wa kuangalia anga kwa ukalibu zaidi ambapo ilituweze kuliona anga lote tunahitaji Rada zipatazo nne ambapo mikoa kilimanjaro ipatiwe rada mbili na Dar es salam ili tuweze kuliona anga lote nakuimarisha usalama wa anga ''alisema naibu waziri Ngonyani .
Ngonyani alisema katika ukanda wa afrika mashariki nchi za uganda ruwanda wameweza kuwekeza katika usalama wanga kwakuweka rada za kutosha hali inayo changia ndege nyingi kuingia kwa wakati .
Alisema changamoto yaupungufu wandege umethibitiwa hadi hivi sasa tanzania inandege zakutosha isipokuwa ndege hizo hutumika kwa safari zandani yanchi nasio nje yanchi .
''Mara nyingi usalama wandege unakuwa mdogo pale zinapokuwa zimekodishwa kwa safari ndefu ,lakini hadi hivisasa tunayo mashirika yandege ya air tanzania ,fastjet,precision AIR ''aliongeza Naibu waziri NGONYANI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni