Timothy Marko.
TAKRIBANI Shilingi bilioni moja zimeweza kupatikana kutokana na makusanyo ya kodi mbalimbali katika manispaa ya ilala ikiwemo kodi zitokanazo na majengo katika manispaa hiyo .
Akizungumza na Waandishi wa habari mapema hii leo Mkurugenzi wa Manispaa ya ilala Isaya mgulumi amesema kuwa fedha hizo zimeweza kupatikana baada ya maspaa hiyo kuchukua hatua yakusanya kodi za majengo zilizopo katika Manispaa hiyo .
''Hatua hii imeweza kufikiwa baada yamanispaa kuanza kukusanyakodi za majengo bilakujali kuwa huyu nidiwani au meya na tumeweza kufikia shilingi milioni 40 ambapo kusudio nikuweza kufikia shilingi milioni 55kama makusanyo ya kodi ''Alisema Isaya Mgulumi .
Mgulumi alisema lengo ni kuweza kuwafikia watu wote wanye majengo mbalimali ikiwemo wenye maduka ambapo jumla silingi milioni6.48 zimeweza kupatikana kutokana natozo za leseni mbalimbali nawasikuwa naleseni hizo .
Alisema katika operesheni hiyo yakusanya kodi kwa majengo hayo ilibainika jumla yamajengo 135 yamekuwa yakiuka taratibu zakukaa katikati yajiji nakuweza kutozwa shilingi 353 kama fedha za ushuru wamajengo hayo .
''Hatua nyingine ambazo tumeweza kuwachukulia watu waliojenga majengo ambayo hayatakiwi kukaa katikati yajiji nipamoja nakuyabomoa majengo hayo kwakutumia tingatinga''Aliongeza Mgulumi .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni