Jumatano, 11 Mei 2016

WATANZANIA WAPOKATIKA HATARI ZAIDI KUAMBUKIZWA SARATANI.

Tokeo la picha la HOSPITAL YA OCEN ROAD

HOSPITALYA OCEN ROAD



Timothy Marko .
ZAIDI   ya WATANZANIA  10000 kati ya100 hugundulika kuwa na tatizo lasaratani ambapo kati yao ni wenye umri kati miaka 25hadi 45 hugundulika kuwa navimelea vya ugonjwa wa saratani .
Takwimu hizo zimetolewa hii leojijini Dar es salaam  na Dakitari Bingwa wa Magojwa ya saratani Katika hospitali ya TMJ Kweka WALTER wakati akizungumza wandishi wa habari juu ya madhara yaugonjwa wa saratani nchini .

‘’KIla mwaka Tanzania  huweza kupata wagojwa wapya 44000 wenye ugonjwa wasaratani ambapo takwimu zinaonesha katika hospitali ya ocen road 1510 katika kipindi cha mwaka 2010 walipatikana na ugonjwa washingo yakizazi ikilinganishwa mwaka 2013 ambapo wagonjwa 1769 waliweza kupatikana na ugonjwa huo’’Alisema Dakitari Bingwa Kweka Walter 

Dakitari Walter alisema kuwa jumla yawagonjwa 386 katika kipindi cha mwaka 2010 waliweza kugundulika kuwa na ugonjwa wasaratani yamatiti ikilinganishwa  785 walipatikana katika kipindi cha mwaka 2013.

Alisema  wagonjwa  tezi dume katika kipindi cha mwaka 2013 walikuwa ni96 ikilinganishwa wagonjwa 115 ambao ni wanaume walioathirika na naugonjwa huo .

‘’kwasasa hospitali yaocen Road inahudumia wagonjwa kati 4000mbaka 5000 walio naugonjwa washingo yakizazi ‘’Aliongeza Dakitari Kweka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni