WADAU WAELIMU NCHINI WATAKA SERIKALI KUANGALIA UBORA WAWALIMU KUKUZA UBORA WAELIMU NCHINI.
Timothy
Marko.
WADAU wa
utafiti nchini wameitaka serikali kuifanyia marekebisho sera yaelimu nchini kutokana
nakuwepo kutokana kuwepo kwa waalimu wasio kidhi viwango vya ufundishaji katika soko la ajira.
Akizungumza
katika mkutano wa uzinduzi waripoti wa ubora wasekta yaelimu iliyoandaliwa na
taasisi yautafiti nchini (REPOA )mapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi
wa taasisi hiyo Dk. Lucas Katera amesema kuwa sekta ya elimu nchini inakabiliwa
nawalimu wasio kuwa naviwango vya kupeleka taaluma naujuzi kwenda kwa wanafunzi
.
‘’SEKTA
yaelimu imezidi kukukua lakini bado inakabiliwa nachangamoto nyingi ikiwemo
uwezo walimu katika kuhamisha ujuzi kwenda kwanafunzi pamoja baadhi
yamiundombinu mingi yashule ni hafifu hususan maeneo yavijijini ikilinganishwa
na mjini ‘’Alisema Dk.LUCAS Katera .
Mkurugezi
Katera alisema kuwa Kiwango cha Madarasa katika maeneo yamjini nikidogo
ikilinganishwa na wingi wa wanafunzi wanaojinga katika shule za msingi za mjini
ikilinganishwa idadi ndogo yawanafunzi walipo katika madarasa yaliyopo maeneo
ya vijijini.
Alisema
kumekuwepo natatizo lausawa wakijinsia kwawalimu kumekuwa nausawa wakijinsia
katika maeneo ya vijijini Ikilinganishwa na maeneo yavijini .
‘’kuna
maendeleo katika sekta yaelimu ikiwemo ongezeko la wanafunzi lakini pamoja
naongezeko hilo bado nidogo lakini kumekuwepo na tatizo la ubora wa walimu
katika kutoa huduma walimu wengi hawakidhi viwango vyaufundishaji kwa
mwanafunzi ilikuweza kupata ujuzi ‘’Aliongeza Katera.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni