Alhamisi, 26 Mei 2016

SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUZINGATIA MUDA WAKUHAKIKI SIMU ZAO KABLA JUNE 16.




Timothy Marko.
Serikali imewataka wananchi kuzingatia maelekezo ya kuhakiki simu zao kabla juni 16 ambapo itazima mifumo yasimu zisizo halisia na mifumo yote ya vifaa vya mawasiano bandia .

Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam waziri wa ujenzi Mawasiliano nauchukuzi profesa Makame Mbarawa amesema kuwa sambamba na uzimaji wavifaa vyamawasiliano feki pia serikali inampango wakuboresha sektayamwasiliano nchini ilikuweza kuleta maendeleo yasayansi nateknolojia .
''sekta yahabari na mawasiliano nisekta muhimu kwajamii katika kubadilishana taarifa za afya,ulinzi nakilimo hivyo sektahii inamahitaji mengi yakimsingi serikali inalenga kukuza mwasiliano ikiwemo kujenga kituo chaukusanyaji taarifa na mawasiliano nchini''Alisema WAZIRI wa mawasiliano Profesa Makame Mbarawa.

Profesa Mbarawa alisema kuwa serikali inafanya juhudi mbalimbali ikiwemo kuratibusera ya mwasiliano ilikuweza kufikia dira yamaendeleo yamwaka 2025 ambapo serahiyo inalenga kukuza tafiti nakukuza ajira nakuendeleza rasimali  watu .

Alisema utafiti huo usaidia kukuza rasmali watu katika sekta  yamwasiliano ilkuweza ubora wamawasilianonchini naubora wataarifa zinzotolewa nanjia mbalimbali za mawasiliano.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni