Timothy
Marko.
KUFUTIA
operesheni kali iliyofanywa na kamati yaulinzi na usalama ya wilaya kinondonihivi
karibuni, kamati hiyo imebaini Mlikiwa Rambo Moteli hana leseni yakuuza vileo nakukiuka
kanuni za afya kwakufanya bishara katika eneo lake huku akizungukwa na kinyesi
nakusababisha afya za wakaazi waeneo hilo kuwa mashakani.
Akizungumza
na waandishi wa habari mkuu wawilaya yakinondoni Ally Hapi mapema hii leo
jijini Dar es salaam amesema kuwa sambamba naeneo la klabu hiyo kuzungukwa na
kinyesi pia kamati hiyo yaulinzi na usalama ya wilaya hiyo ilibaini kuwepo kwa
biashara yangono ,ubakaji pamoja kutiririsha maji taka katika eneo lilalozuka
ukumbi huo wastarehe .
‘’kufuatia
operesheni iliyofanywa nakamati yaulinzi na usalama ya wilaya yangu yakinondoni
nimeamua kuifungia night klabu ya Rambo motel nakupeleka miliki wake mahakamani
tangia jana Saa 8.30 ‘’Alisema MKUU
wa wilaya Ally HAPI
.
MKUU wa
wilaya Hapi alisemakuwa katika hatua
nyingine wilaya yake imeweza kuwa tianguvuni wanajihusisha na biashara ya ngono
52 nakuweza kufikishwa mahakamani na watu 10 kwa uzembe na uzururaji na kuweza
kupelekwa mahakamani .
Alisema
katika operesheni hiyo kamati yake yaulinzi na usalama imeweza kuwatianguvuni
wapiga debe 7 wamekakamatwa nakuweza kufikishwa mahakamani ,wakati huohuo
kamati hiyo iliweza kukamata silaha moja na bastola risasi 4.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni