Jumanne, 1 Machi 2016

SERIKALI YAKANUSHA MADAI YA BALOZI OMBENI SEFUE KUHUSIKA NA UTEUZI WA MKURUGENZI WA BODI YAMADAWA MSD.

Timothy Marko.
SERIKALI imekanusha Madai yaliyotolewa katika Gazeti la Dira ya Mtanzania toleo Na.404 la Febuary 29 Mwaka huu kuwa Katibu mkuu Kiongozi Ombeni Sefue alishawishi uteuzi wa Mkurugenzi mkuu Wa Bohari ya madawa nchini (MSD)pamoja na Kampuni ya CRJE na UGG kuweza kupewa tenda ya ujenzi wa chuo Kikuu cha Dodoma na ujenzi wa Daraja la kigamboni pamoja nareli yakutoka Dar es salaam hadi Kigali Ruwanda .

Akitoa ufafanuzi huomapema hii leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa idara ya Habari Maelezo ASAH MWAMBENE amesema kuwa kiongozi huyo hakuhusika katika sakata hilo la kushawishi Mkurugenzi mkuu wa bohari hiyo yamadawa nchini kuweza kuteuliwa .

''Usajili wa majina hayo ulifanywa nakampuni huru iliyopewa nabodi ambapo mapendekezo yamajina matatu yalipelekwa kwa Rais Wa jamuhuri muungano Dk.JONH Pombe Magufuli nakupelekwa tena kwa waziri wa afya na ustawi wajamii Ummy MWALIMU Kwajili yauteuzi balozi .Ombeni Sefue alikuwa hamjui nawala hakuwa na mahusiano naye ''Alisema Mkurugenzi wa idara ya Habari maelezo ASAH MWAMBENE .

MWAMBENE alisema kuwa tangu bodi hiyo ianzishwe mwaka 1993 ina mkurugenzi mmoja tu Rino Meyer ambaye nimfamasia ,wakurugezi wengine peter Mellon ,jayDrosin na Joseph Mgaya hawakuwa wafamasia .
Alisema kuwa kuhusiana nakatibu huyo kiongozi kuhusishwa ugawaji wa tenda wakampuni yakichina yaCRJ wakati kampuni hiyo ikigewa tenda yaujenzi mwaka 2007balozi ombeni sefue hakuwa katibu kiongozi bali alikuwa nibalozi wa Tanzania nchini marekani.

''Kadhalika mchakato wakupata mkandarasi wa daraja lakigamboni ulianza mwezi march 2011 balozi ombenisefue alikuwa balozi watanzania nchini MAREKANI ''ALIONGEZA ASAH MWAMBENE .

MWAMBENE aliongeza kuwa katibu mkuu hakuipigia debe kampuniUGG Katika ujenzi wa reli yakati    

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni