Jumatatu, 29 Februari 2016

PUNGUZO LA BEI YAHISA YASAIDIA KUKUA KWA MAUZO YAHISA JIJINI DAR ES SALAAM.UNGOZO LA BEI YAHISA KATIKA BENKI NMB,TWIGA CEMENT YACHANGIA UKUKUA KWA MAUZO YAHISA .

Timothy Marko.
KiWANGO cha Mauzo yahisa jijini Dar es Salaam kimezidi kupanda baada ya soko lahisa kuweza kufikisha Shilingi Bilioni6.3 ikilinganishwa na wikiliyopita ambapo kiwango cha mauzo yahisa kilifikia bilioni 5.

Akizungumza na Waandishi Wa Habari jijini Dar es salaam Meneja Mauzo nabiashara wa soko hilo la hisa Patrick Mususa amesema kuwa ongezeko hilo limetokana ukubwa wa wa mtaji wa shilingi trioni 21 na baada  ya Makapuni yakiwemo Benki ya Nmb twiga cement kupunguza kiwango cha thamani ya hisa za ke kutoka kwa wateja wake .

''Kukua kwa soko lahisa kumetokana baada ya Kampuni Za NMB,Twiga Cement kutoa Punguzo la bei katika hisa zake ''Alisema Meneja Mauzo na Biashara Patrick Mususa .

Mususa alisema kuwa ongezeko hilo lathamani yamauzo ya hisa limeweza kuchangia sekta yaviwanda kuweza kushuka .

Wakati huo huo,MUSUSA aliwataka wanafunzi wavyuo vikuu nchini kushiriki katika shindano la soko lahisa ilikuweza kukuza uelewa wasoko hilo .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni