Timothy Marko.
MAMLAKA ya
usafishaji wa majini nanchi kavu nchini(SUMATRA) imetoa mapendekezo ya Gharama
za nauli za mabasi ya mwendokasi kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa huduma
ya usafirishaji nakuwataka wadau hao kutoa maoni yao juu yamwenendo wa gharama
hizo .
Mapendekezo
hayo yanayolenga kwa mtumiaji wa mabasi yamwendokasi kutumia huduma hiyo
kwakuchangia shilingi 1200 kwa ruti ndefu na shilingi 1400 kwanjia kuu nashingi
1000 kwa mwanafunzi atakaye tumia usafiri huo.
Akizungumza
katika mkutano wa wadau wa sekta yausafirishaji nchini Mkurugenzi wa Mamlaka ya
usafirishaji na majini (SUMATRA) Afred Ngewe amesema kuwa mapendekezo yaviwango
hivyo vya nauli kwa watumiaji wa usafiri wa mwendokasi kutokana nasheria ya
usafirishaji ya Sumatra yanamba 9 ya mwaka 2001 kuitaka mamlaka hiyo kuweza
kukutana na wadau wake ilikuweza kujadili mwenendo wa gharama za nauli
ilikuweza kufikia muafaka .
‘’kupitia Viwango
vya nauli vya mabasi yaendayo haraka (rapid Transpot)nijambo la kisheria ambapo
mamlaka ya usafirishaji Sumatara sheria
namba 9 yamwaka 2001 inainisha kuwa nilazima kuwepo kwa maombi ya mtoa
huduma nakutana nawadau ilikuweza kutoa
maoni yao baada ya siku 14 kwa maandishi’’Alisema Mkurugezi Afred NGEWE
.
Mkurugenzi Afred
NGEWE Alisema kuwa mpango huo wa ushirikishwaji wa dau mbalimbali wasekta hiyo
unalenga kuwashirikishi na unaofuata misingi yakisheria .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni