Blogu hii makini iko kwa ajili ya kuhabarisha masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Karibuni sana.
Jumatatu, 16 Novemba 2015
WAWEKEZAJI WAPUNGUZA KASI YA UNUNUZI WA HISA KUTOKANA NA UCHAGUZI MKUU.
Timothy Marko
MAUZO ya hisa yanatarajiwa kuongezeka katika kipindi cha Mwezi januari mwakani baada ya kipindi cha uchaguzi wa wabunge madiwani pamoja Rais kumalizika Octobar 25 Mwaka huu, hali iliyochangiwa na baadhi wawekezajiwakutoka nje kusita kuwekeza katika soko la hisa la Dar es salam DSE.
Hayo yamesemwa leo na Meneja Fedha na utafiti wa soko lahisa la jijini Dar es salaam Ibrahimu Mshindo wakati akizungumza nawaandishi wa Habari katika kutoa tathimini yamauzo yakipindi cha mwezi septembar hadi octobar mwaka huu ambapo amesemakuwa hali hiyo imechangiwa na kushuka kwa idadi ya mauzo katika kaunti ya kampuni twiga cementi.
''Tunatarajia katika kipindi cha Mwezi january tunatarajia kuwa na wawekezaji wa soko la hisa katika soko idadi yamauzo yameshuka hadi kufikia asilimia 78 wakati huohuo mauzo yahisa imemarika kwa asilimia 101''Alisema Meneja utafiti Ibrahimu Mshindo.
Meneja Mshindo alisema kuwa pamoja Kampuni ya twiga kuongoza katika kuuza hisa zake katika soko hilo kwa asilimia 12makapuni mengine ni pamoja na Jublee Insurance kwasilimia 2.27wakati huo huo makapuni yaliyopo katika ukanda wa afrika mashariki yanayo ongoza ni pamoja na kenya Air ways ,uchumi supermaket .
Alisema kuwa sekta yaviwanda imeweza kukua kwa asilimia 65 ambapo hali hiyo imechangiwa kununuliwa kwa hisa za twiga cement .
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni