Ijumaa, 16 Oktoba 2015

SERIKALI KUFUATILIA MADAI YA WALIMU YA MISHAHARA.

Timothy Marko.SERIKALI imesemakuwa bado inaendelea kushughulikia madai yawatumishi wa umma ikiwemo stahiki za walimu kutoka katika ngazi yaserikali za mitaa hadi kufikia serikalikuu ilkuhakikisha wanalipwa stahiki zao ikiwemo mishahara yao.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Dar es salaam Naibu katibu mkuu wizara yautumishi wa umma HAB Mkwizu amesemakuwa ufuatiliaji wamadai hayo unajumuisha madai ambayo nimishara naile isiyokuwa yamishahara .
''kwamujibu wa sheria madai ya ainayoyote yamshahara nilazima yahakikikiwe namalaka zinazo husika ndipo malipo yafuatwe hii nikwa mujibu wa sheria za madai ilkuweza kubaini wanastahili kulipwa nawasiostahili kulipwa kwamujibu washeria ''Alisema Naibu KATIBU Habibu Mkwizu .
Mkwizu alisemakuwa katika kipindi chsa mwezi october tayari madai yawalimu wapatao 3665 najumla shilingi bilioni 6,147 tayari yameshalipwa huku madai mengine yashilingi bilioni 18 yatalipwa kila mwezi kwa mwezi october bilioni 4hadi 14 zitalipwa kwa awamu
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni