Ijumaa, 16 Oktoba 2015

SERIKALI :HATUNA SABABU YA KUTOA HISA KATIKA KAUNTI YA TBL KWA SABABU ZA KISIASA

Timothy Marko.SERIKALI imesema kuwa imekuwa ikiwekeza hisa zake kutoka katika makampuni binafsi ikiwemo Kampuni ya bia nchini(TBL) ilikuweza kukuza mtaji ili kuweza kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo umeme na miradi mbalimbali ya miundombinu.
Akizungumza nawaandishi wa Habari Mapema hii leo jijini Dar es salaam Msajili wa Hazina kutoka wizara yafedha Laurence Mafuru amesema kuwa serikali imekuwa ikiuza hisa hizo ilkuweza kuziimarisha Taasisi zake kimapato nakuwa serikali haing'ang'anii kuzitoa hisa zake katika kaunti ya TBL kama ilivyoripotiwa na baadhi ya wanasiasa katika kampeni za uchaguzi zinazo ende lea hivi sasa kuwa serikali imetoa hisa zake katika kaunti ya TBL kwasababu zakisisasa .

'' Hatuna sababu ya kiuchumi ya kung'anga'nia hisa zilizopo katika kaunti ya TBL ,kampuni hii imekuwa ikiuza hisa kati shilingi 1000 hadi 15000 mchakato wakunuanua hisa za TBLkwa manufaa ya umma ''Alisema Laurence Mafuru .

Msajili wa Hazina Laurence Mafuru alisema kuwa kutoa hisa hizo hazina uhusiano wowote na zoezi la kampeni za chama cha mapinduzi CCM nakuwa suala hilo bado litaendelea kutolewa ufafanuzi pindi uchunguzi utakapoendelea kufanyika kama fedha zilizo wekwa katika kaunti hiyo ya TBL lizilitumika katika zoezi la kampeni ya chama cha mapinduzi.
Alisema kuwa nivyema wanasisa wakatenganisha shughuli za sisasa na shughuli za serikali ambapo aliwataka wananchi kuweza kuwa na upeo wa kuchambua masuala mbalimbali ikiwemo hoja zinazotolewa na wanasiasa hususa kipindi hiki cha kampeni.
''ifike mahali WATANZANIA Waweze kupambanua mambo kuhusiana nahoja zinazo tolewa nawanasisa wawezekubanisha ukweli ni upi naupi sio ukweli ukweli ni huu kuwa uzwaji wa hisa katika kaunti ya TBLumetokana na utekelezwaji wa mipango ya serikali ambapo mkakati wa serikali nikufikia bilioni212 ilkuweza kuwekeza katika sekta yakilimo naviwanda ''Aliongeza Mafuru.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni