Jumatatu, 31 Agosti 2015

SITTA AKANUSHA MADAI YALIYOTOLEWA NA WAPINZANI.



Timothy Marko.

KUFUATIA vyama vinaonyunda katiba yawananchi (ukawa) kumshutumu waziri wa uchukuzi Samweli Sita kuwa amehusika katika manunuzi ya mabehewa hewailiyokuwa shirika la  la reli nchini (TRL) WAZIRI huyo amekanusha tuhuma hizo zilizozotolewa juzi katika uzinduzi wa kampeni  umoja  wa katiba yawananchi nchini .

Akizungumza nawaandishi  wa Habari mapema hii leo Waziri Samweli Sitta amesemakuwa  kuna utaratibu  maalum  wakutoa zabuni kwajili yaununuzi wamabehewa hayo  ambapo ofisi yake ili mtuma muhandisi wa wizara hiyo wakufuatialia manunuzi ya mabehewa hayo nchini  india .

‘’Waliotumwa kwenda india walikuwa ni waandisi walifuata taratibu za uhandisi ikiwemo kufuata mnyambuliko  wa spring  zilizopo kwenye mabehewa hayo ,natuhuma zinazotolewa dhidi yangu kuwa kuna mabehewa hewa si yakweli ‘’Alisema  Samweli Sitta.

Sitta alisema kuwa kawaida ya mtu anapotafuta uongozi wa kuiongoza nchi nilazima achambuliwe kama yeye ni mwadilifu ama la nakusitizakuwa  kuna watu hawana nia njema nakiongozi huyo nawanafurahi endapo yeye atajiuzulu  kutokana nakashifa hiyo.

Alisema kufuatia sakata hilo tayari wizara yake  inafanya uchunguzi kusiana nasuala hilo ,ambapo alisititiza kuwa tayari watu  watano walipo katika wizara yake wanaendelea  kuchunguzwa nakesi zao  zipo  mahakamani.

‘’Watano wanaotuhumiwa tayari wameshafunguliwa mashita ka nakesi zao zipo mahakamani ili waweze kutoa ushaidi mahakamani’’Aliongeza  WAZIRI Sitta.

Katika hatua nyingine waziri huyo wauchukuzi alisema kuwa wizarayake  inafuatilia kwaukaribu juu yamchakato wa liliokuwa shirika la ndege ATC  kulipwa  madeni yake ambapo  benki ya TIB ipo tayari kulikopesha  shirika hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni