Timothy Marko.IDARA ya uhamiaji nchini imewakamata raia wakigeni wapatao
2048 kwatuhuma zakujiandikisha kwenye daftari la wapigakura kwa kutumia mfumo wa BVR unaotumika kwaajiri yauchaguzi utakao fanyika octobar mwaka huu .
Akizungumza nawaaandishi wahabari jijini Dar esalaam mapemahii leo Naibu kamishina wa uhamiaji nchini Abbas Erovya amesema kuwa raia hao wakigeni waliojiandikisha katika daftari hilo walipatikana katika mikoa ya Dar es salam ,kagera mara,tanga kigoma,rukwa kilimanjaro,Ruvuma ,Geita,shinyanga ,mtwara pwani ,mbeya ,pamoja na morogoro .
'' Raia hawa nipamojana DSM,(65)kagera(708),mara619,tanga348kigoma254 ifahamike kuwa raiahawa wakigeni watachukuliwa hatua kiwaemo kufikishwa mahakamani kwatuhuma za udanganyifu'' alisema Abbas irovya .
Irovya alisema kuwa sambamba nakuwabaini wahamiaji haramu waliojiandikisha katika daftari hilo pia idarayake inapitia marekebisho ya sheriayauhamiaji namba 7/1995 sura54(Re:2002) ilikuwezesha idarahiyo kutekeleza majukumuyake ikiwemo uteuzi wamkuu wa idaraya uhamiaji ikuweza kutekeleza majukumu yake .
alisema kuwa sambamba marekebisho yasheria pia taasisi yake imeongeza wigo waadhabu wamakosa ya uhamiaji kuanzia faini ya shilingi500000 hadi kufikia 150,000 sambamba nakifungo jela .
,,baada ya markebisho ya sheria tumeongeza kiango cha adhabu ya makosa ya uhamia kutoka shilingi 500000 hadi 150,000 pamoja nkifungo jela ''aliongeza naibu kamishina irovya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni