Jumanne, 12 Mei 2015

NEC;YATANGAZAVIGEZOVYAUTEUZI WA MAJIMBO

Timothy Marko .
TUME yauchaguzi nchini(Nec) imesema kuwa itatumia vigezo maalumu katika kuyagawa majimbo ya uchaguzi ikiwemo idadi yawatu katika jimbo husika la uchaguzi .

Akizungumza katika mkutano nawaandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema hii leo Kaimu mkurugenzi wa tume hiyo Kailima Ramadhani amesema kuwa idadi hiyo katika majimbo hayo itapatikana kwa kuchukua idadi yawatu waliopo nchini na kugawa nya majimbo yaliopo .

‘’Idadi hii itazingatia hali halisi ya idadi yawatu walipo katika maeneo yavijijini na mijini majimbo yatakayokidhi kigezo hiki ndiyopekee yatakayoendelea kufikiriwa kwa kuwekewa vigezo vingine ‘’alisema Kailima Ramadhani .
Ramadhani alisema kuwa vigezo vingine nipamoja na hali yaupatikanaji wa mawasiliano nakuweza kufikiwa na huduma zingine ikiwemo barabara na vyombo vya habari redio na magazeti .
Alisema kuwa sambamba naupatikanaji wa njia ya mawasiliano pia ugawaji wa majimbo hayo yauchaguzi utazingatia hali ya kijografia ilkukuza ufanisi zaidi .
‘’vigezo vinginevyo nipamoja nahali yakuchumi maeneo yaliyo kuwa chini zaidi kuchumi yatafikiriwa zaidi katika ugawaji wa majimbo kuliko maeneo yalioendelea kiuchumi zaidi ,takwimu zitakazotumika niukusanyaji wa mapato kutoka tamisemi ‘’Aliongeza kailima ramadhani .
Kaimu mkurugenzi wa tumehiyo aliongeza kuwa eneo jngine litakalo zingatiwa nimamoja na mipaka ya kiutawala tume hiyo itafanya mabadiliko kutokana hali yamipaka yakiutawala .


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni