Jumanne, 24 Machi 2015

WIZARA YA AFYA :WAGONJWA 65000 HUFARIKI KUKTOKANA NA UGONJWA WAKIFUAKIKUU

Timothy Marko.
Wakati Tanzania ikiadhimisha siku yakifuakikuu Tanzania inashika nafasi yasita barani afrika kwa kuwa nawagonjwa wengi wanaokufa kutoakana ugonjwa wakifuakiuu ambapo zaidi 65000 waemeweza kuambukizwa ugonjwa huo .
Akizungumza jijini nawaandishi wa habari jana ,Katibu mkuu wa wizara ya afya Dk.Donard Mmbando amesema kuwa hali ya maambukizo mapya yaugonjwa huo huwapata watu wenye umri 50 wapo katika hatari kubwa katika kupata maambukizi ya ugonjwa huo.
‘’TAKWIMU zetu zinaonesha maambukizo mapya huwa pata rika lavijana wenye umri kati 25 mpaka miaka 44 kama ilivyo ukimwi ambapo kundi hili limekuwa ndilo wazalishaji mali katika uchumi ‘’Alisema Donard Mmbando .
DK.Mmbando alisema kuwa zaidi yawatu milioni 9 duniani wamekuwa wakiuuguaugonjwa huo ambapo theluthi ya watu wanaougua ugonjwa huo wanaishi katika nchi masikini ikiwemo Tanzania .
Alisema kuwa kati ya wagonjwa hao wanao ugua ugonjwa wa kifuakikuu nipamoja na watu wanaoishi na vvu ,watoto ,wazee wafungwa,nawale wagonjwa wanaugua saratani na kifua kisukari .
‘’Takwimu zetu za mwaka 2013 zinaonyesha tuligundua wagonjwa wenye kifua kikuu wapatao65,732ambao kulingana kiwango cha maambukizi yakifua kikuu uliofanyika mwaka 2012 tuligundua asilimia 54 ya wagonjwa wote wanaoishi naugonjwa huo ‘’aliongeza DK Mmbando .
 Mbando Aliongeza kuwa jumla yawatu wapatao 5600wanao ugua kifua kikuu hukosa kugunduliwa ilkuweza katika matibabu kila mwaka hivyo kuendeleza kuambukiza watu wengine katika jamii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni