Timothy Marko.
JUMUHIA ya waendesha
Boda boda mkoa Dar es salaam imesemakuwa
itaendelea kushirikiana na chama cha mapinduzi
endapo chama hicho katika uchaguzi ujao kitamteua aliyekuwa wazirimkuu
Edwad lowasa kugombania urasi kwatiketi
ya chama hicho .
Akizungumza
na waandishi wahabari mapema hii leo jiji Dar es salaam Msemaji wa jumuhia hiyo
Abdallah Bakari amesema kuwa waziri mkuu huyo mstaafu amekuwa akishirikiana
navijana wakati wote tangu jiji hilo la dare s salaam lilipozuia pikipiki
katikati ya jiji .
‘’Kwa wakati
wote tangu mkoa wa Dar es salaam ulipotangaza kuzuia kuingia pikipiki mjini
amekuwa akitutaka tuwe wavumilivu ikimbukwe bunge lililihusu boda boda
aliyefanya juhuhudi hizo si mwingine ni edwad lowasa aliyekuwa waziri mkuu ‘’Alisema
Abdallah Bakari.
Abdallah
Bakari alisema kuwa endapo chamahicho kitamteua mtu mwingine kuweza kugombania
urais kwatiketi yachama hicho kitawachagua wagombea wakambi yaupinzani wanaunda
umoja wa katiba ya wananchi Ukawa .
Alisema kuwa
enzi za waziri mkuu huyo wazamani aliweza kuwatetea wafanyabiashara hao wasiweze
kufukuzwa katika maeneo yao ilkuweza kufanya biashara nakukuza kipatato chao .
‘’tuna
kumbuka wakati LOwasa alipokuwa waziri mkuu aliwatetea wafanyabishara
wamachinga wasifukuzwe katika maeneo yao ya kufanyiabiashara ‘’Aliongeza Bakari
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni