Timothy Marko.
Jamii imeshauriwa kuwajali watu wenyeulemavu ikiwemo kutoa misaada kwawatu hao ilikuweza kuji kwamua kiuchumi nakijamii .
Akizungumza jijini leo katika halfa yakukabidhi vifaa kwa watu wenye ulemavu katika shilirika laumme me tanesco Makamu mwenye kiti washirikisho lawatu wenye ulemavu nchini (SHIVAWATA)Amina Molleli aitaka jamii kuwa saidia watu wenye ulemavu katika kutatua changamoto zinazo wakabili wa lemavu hao ikiwemo vifaa mbalimbali vitakawawezesha kujikwamua kiuchumi.
‘’Tunawashukuru kwakwamiavuli hii ipatayo 630 iliyotolewa nakampuni ya kusambaza ummeme kwa kuwajali watu wenye ulemavu hii imeonesha kuwa pamoja nashilika hili kutoa huduma ya umeme lakini shilika hilimekuwa mstari wambele wakuisaidia jamii tuna tarajia makapuni mengi kuiga mfano huu kutoka shirika la tanesco ‘’Alisema Amina moleli .
Amina Moleli alisema Pamoja nashirika hilo kuonesha upendo wazadhati kwa walemavu hao pia shirika hilo la tanesco liliaswa kushiriki katatika maadhimisho yasiku yawalemavu duniani inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni .
KATIKA hatua nyingine Kaimu mkurugenzi washirika la kusambaza umeme nchini Tanesco Mhandisi Nazir KACHWAMBWA amesemakuwa kampuni yake yatanesco imewakabidhi walemavu hao miavuli ipatayo650 baada ya kuombwa shirikisho lawatu wenye ulemavu kuweza kupatiwa miavvuli 50 .
Naziri kachwambwa alisemamiavuli hiyo inajumla ya thamani shilingi milioni 10 kwani walemavu hao wamekuwa nisehwemu yawatejawao wakilasiku katika sekta yaummeme .
‘’watu wenyeulemavu nisehemu yawateja wetu tulianzana namiavuli 630 lakini hadi hivi sasa tume pata miavuli650 kwajili yakuwasaidia walemavu hawa ‘’ALISEMA Kachwambwa..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni