Timothy Marko.
KATIKA Kuhakikisha tatizo laugonjwa wakisukari linatokomezwa hapanchini serikali imewataka wananchi wenye ugojwa wakisukari kuweza kuchunguzwa afya zao sambamba na afya ya macho na madaktari bingwa wa hapanchini kupitia chama chamadaktari hao wa tiba ya macho .
Akizungumza jijini mapemahii leo ,nawaandishi wahabari Katibu mkuu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii Charles Pallangyo, amesema kuwa zoezi laupimaji wa macho nakisukari limekuja kufuatia maadhimisho yasiku ya afya yamacho duniani October 9 mwaka huu yanayo tarajiwa kufanyika katika viwanja vya mnazimoja kaulimbu yama adhimisho hayo ni ‘’Afya bora yamacho kwa wote ‘’mgeni rasmi atakuwa niwaziri waustawi wajamii DK.seif Rashidi .
‘’Kaulimbiu hii inalenga kuhamasisha wadau mbalimbali kushiri kiana katika kuimarisha upatikanaji wahuduma za macho ilkuweza kupata matibabu sahihi nakuzuia upofu utokanao na ugonjwa wakisukari ‘’Alisema Charles Pallangyo .
Pallanngyo alisema kuwa kulingana na takwimu zashirika laafya duniani WHO inakadiriwa kuwa asilimia 1 hadi 7.5 yawananchi waishio kusini wa jangwa lasahara wa naugonjwa wa kisuKari ambapo nisawa wa wastani wa wagonjwa 450,000hadi 3,375,000 kwa nchi ya Tanzania.
Alisema kuwa wagonjwa wengi wakisukari wanapatikana katika maeneo ya mjini ambapo jumla wagonjwa 66,400 wamekuwa wa kihudhudhuria tiba ya kisukari katika vituo vya afya .
‘’KATIKA kipindi chamwaka jana jumla yawagonjwa wapya wakisukari wapatao 3,500waligundulika kuwa natatizo la ugonjwa wa kisukari hata hivyo kumekuwa na idadi kubwa yawagonjwa wa kisukari ambao hawajapima bado ‘’Aliongeza katibu mkuu .
Katibu mkuu Charles Pallangyo alisema kuwa watu wenyeugonj wa wakisukari wamo katika hatari yakupata upofu kutokana athari za ugonjwa huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni