Timothy Marko.
Taasisi inayoyishusisha
na maswala ya utafiti (Twaweza)Kimeishushia tuhuma nzito Jeshi la polisi nchini
kuwa ndio taasisi inayoongoza kuwepo kwa vitendo vya rushwa nakueleza kuwa
tasisi zinazo fuatia kwakuongoza vitendo vyarushwa hapa nchini nipamoja na
taasisi Zinazo jihusisha na maswala ya siasa ikiwemo vyama vya siasa .
AKizungumza
na waandishi wahabari jijini meneja mawasiliano wa taasihiyo Risha Chande
amesema kuwa katika tafiti zilizofanywa na taasisi hiyo imebainikuwa jeshi lapolisi linaongoza kwa vitendo vya
rushwa kwa asilimia tisini nne wakati kada ya siasa ikifuatia kwa asilimia
tisini na moja wakati sekta zilizo na viwango vya chini kabisa ni mashirika
yadini na taasisi za kibiashara pekee.
‘’Sekta
zinazo ongoza kwavitendo vya rushwa ni pamoja napolisi kwa asilimia tisini nne
ikifuatiwa navyama vyasiasa asilimia tisini na moja wakati sekta ya afya
ikishika nafasi yatatu kwa asilimia themanini na mbili ‘’Alisema Risha CHANDE .
Chande
amesema kuwa matokeo hayo ya utafiti huo yamebebwa na kichwa kinachosema kuwa je
juhudi za serikali zimesaidia vita dhidi ya rushwa ambapo utafiti huo ulifanywa
kwakutumia simu yamkononi ambao ulikuwa na uwakilishi wakitaifa ambao
ulikusanya maoni kutoka maeneo ya Tanzania bara.
Alisema katika
utafitihuo ulibaini kuwa baada ya kutoa dodoso kwa wana nchi walieleza kuwa
wamekuwa wakiombwa napolisi rushwa pindi wanapokutatana polisi na baadhi ya
wanachi hao niwawili tu ndio walitoa rushwa wenyewe bila kushinikizwa na jeshi
lapolisi.
‘’wengi wa
wananchi hawajui ni hatua gani pindi wanapo ombwa rushwa nimtu mmoja alikuwa
anafahamu wapi pakuripoti vitendo vyarushwa ambapo ni takukuru’’Aliongeza
Chande.
Katika hatua
nyingine mbunge wakigoma kasikazini Zitto Kabwe amesema kuwa kama vyama
vyasiasa vitapiga vita rushwa serikali itapata watu wasafi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni